ELIMU YA UJASILIAMMALI KUTOLEWA MKOANI IRINGA IKIAMBATANA NA ELIMU YA AFYA UPIMAJI NA UTOAJI SUMU MWILINI
Jamii mkoani Iringa imeaswa kujiunga katika biashara ya mtandao ili kujiongezea kipato pamoja na kujikwa mua katika tatizo la umaskini kutokana na kupata kipato kidogo kinachopatikana katika kazi zao za kila siku.Rai hiyo imetolewa na wakufunzi kutoka Dar es Salam ammbao ni Mwalimu Chris na Dk. Hilda Mahende ambao ndio walioendesha semina hiyo ya ujasiliammali iliyofanyika katika ukumbi wa Neema Craft uliopo katika manispaa ya iringa mjini ambapo katika semina hiyo wadau mbalimbali wamehudhulia ili kujipatia elimu juu ya ujasiliamali pamoja nakujiunga katika biashara hiyo ya mtandao inayojummuisha wajasiliammali wenye mtaji mkubwa na mdogo,katika semmina hiyo limeweza kutolewa ufafanuzi wa nini maana ya biashara ya mtandao inayohusisha mashirika yasiyo ya kiserikali hususani shirika la Neptunas pammoja na Shirika la Green World ikiwa ndiyo mashirika yanayodhamini biashara hii ya mtandao ambayo kwa ujumla inafanywa na zaidi ya mtu mmoja kwa kukusanya watu wakujiunga na biashara hiyo,
Namna ya kujipatia kipato katika biashara hiyo ni baada ya mjasiliamali kujiunga na kukusanya watu wa kujiunga na biashara hiyo kadri unavyo kusanya watu wengi wa kujiunga katika huduma yao ikumbukwe kuwa mashrika haya yenyewe yanajihusisha na Upimaji wa afya pamoja na Utoaji sumu mwilini kwa kutumia mashine za kisasa na kubaini magonjwa yote yaliyopo mwilini mwa binadamu.
Lengo la semina hiyo ni kuwafundisha wananchi juu ya kujiunga katika biashara ya mtandao ambao unawaunganisha watu wengi zaidi ili kuondokana na umaskini unao zikabili jamii nyingi hususani za kiafrika,lakini pia lengo la pili la semina hiyo ni kuwakumbusha wajasiliammali kutambua utamaduni wa biashara kuliko kufanya biashara kwa mazoea na yenye kutoa kipato kidogo kwa kazi ya muda mrefu,
kadharika wakufunzi hao wamesema ili kupata kipato zaidi hii inatokana na juhudi za mjasiliamali atakaye jiunga na biashara hiyo ya mtandao katika kujikusanyia pointi kutokant na idadi ya watu aliowatafuta,aidha lengo la tatu la semmina hiyo ni kuwafanya wajasiliamali watambue umuhimu wa kujiunga katika biashara hiyo ya mtandao.
Mashirika hayo yanayodhamini biashara hiyo ya mtandao inayojummuisha mashirika ya Neptunas na Green World ambayo makao yake makuu yapo USA na China ambapo mpango wa uwekezaji na utoaji huduma hapa Afrika ulianza mnamo mwaka 1994 hadi 2006 na mpango huo ulikamilika kuingia Afrika mashariki mnamo mwaka 2008 lengo ikiwa ni kushughulikia uchumi pamoja na afya ya mwili katika upimaji na utoaji sumu mwilini,kwa sasa katika mkoa wa iringa huduma hiyo inapatikana Iringa mjini katika jengo jipya la biashara chumba nammba 14 na 15.
Mbele ni Mwalim Chris akifundisha somo la ujasiliamali katika semina Neema Craft Iringa |
Dk.Hilda Mahende akitoa ufafanuzi juu ya utumiaji wa mashine ya upimajmi katika semina ya ujasiliamali |
Baadhi ya madawa na mashine zinazotummiwa na wataalam hao katika huduma za matibabu |
Dk.Hilda Mahende akifafanua maada katika semina |
Mmoja kati ya washiriki katika semina ya Ujasiliammali Neema Craft Iringa akiwa na zawadi kutoka kwa wakufunzi |
Kushoto ni mfanyakazi wa Shirika la Neptunus na Green Sifa Kulanga World akimkabidhi zawadi mshiriki wa semmina |
Mshiriki wa semmina ya Ujasiliamali Kenneth Matonya baada ya kukabidhiwa zawadi |
Washiriki wa semina ya ujasiliamali katika ukumbi wa Neema Craft Iringa |
Washiriki wa semina ya ujasiliamali katika ukumbi wa Neema Craft Iringa |
Washiriki wa semina ya ujasiliamali |
Washiriki wa semina ya ujasiliamali |
Washiriki wa semina ya ujasiliamali |
No comments:
Post a Comment