TANZANIA CHAMBER OF COMMERCE
INDUSTRY AND AGRICULTERE
![]() |
Katibu wa Chama Cha wafanyabiashara TCCIA mkoa wa Iringa Bw.Bathulmeo Kunzugala |
Taarifa kwa wafanyabiashara ya kukuza Mitaji ya Biashara
TCCIA Mkoani Iringa unawataarifu watu
wote kuwa tarehe 13 na 14 January 2014 kutafanyika mafunzo ya Mpango wa
kukuza Mitaji kupitia Dirisha la soko la Hisa la Dar es salam kwa
wajasiriamali wadogo,wakati na wakubwa nchini.
Mfanyabiashara yeyote mwenye biashara au
Unawazo la Biashara litakaloonesha kukua hdi kufikia kampuni yenye tija
na kukuza Ajira au unataka kupanua Biashara yake lakini Mtaji ni tatizo
anakaribishwa kushiriki Mafunzo hayo.
Fika Ujisajili katika ofisi ya TCCIA Mkoa wa Iringa iliyopo Majengo ya RETCO mkabala na kituo cha mafuta Cha TFA
MWISHO WA KUJIAJILI NI TAREHE 07/01/2014.
Kwa ufafanuzi zaidi wasiliana nasi kwa Simu
0784 462307,0756 060561,0715 462307 na 026 2700071
No comments:
Post a Comment