MBUNGE MSIGWA ATOA MSAADA WA VIFAA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA
Vifaa vikishushwa toka katika Gari
| MBUNGE WA IRINGA MJINI PETER MSIGWA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA KUKABIDHI VIFAA HIVYO. vifaa hivyo ni vitanda vya umeme,wheel chair,kabati na magodoro. |
Mwakilishi wa Meya wa manispaa ya Iringa akitoa neno la shukrani baada ya kupokea vifaa toka kwa Mbunge wa Iringa mjini Mh Peter Msigwa.
No comments:
Post a Comment