HAIJAWAHI KUTOKEA MKOANI IRINGA MTUMISHI WA MUNGU ASKOFU BOAZ SOLLO PAMOJA NA MTUME DAVID CHUMA KUTOKA ZAMBIA WAUNGURUMISHA SEMINA KUBWA YA NENO LA MUNGU AMBAPO MIUJIZA MIKUBWA IMETENDEKA,WAGONJWA KUPONYWA,WENYESHIDA KUFUNGULIWA KUANZIA JUNE 14.2012 HADI JUNE 17.2012.
Bango kubwa la Ukumbi wa Overcomers Power Centre Iringa (IDYDC) |
Mtume David Chuma akihubiri Iringa |
Mtume David Chuma kutoka Zambia akisoma neno la Mungu |
Askofu Boaz Sollo mkuu wa huduma ya Overcomers Power Centre na mkurugenzi wa Overcomers Fm Radio akiwa katika semina |
Mtume David Chumma akifanya maombezi kwa wenye shida. |
Waliohudhulia katika semina Iringa Overcommers Power Centre wakiombewa na Mtume David Chuma Kutoka Zambia |
Askofu Boaz Sollo kulia akiwa na Mtume David Chuma kushoto wakiwa ukumbini |
Mtume david Chuma Akiwaombea watu |
Askofu Boaz Sollo akifanya maombezi |
Mtume David Chuma akihubiri |
Mtume David Chuma akishangiliwa na Waliohudhulia katika Semina |
![]() |
Muhubiri David Chuma akisoma neno la Mungu |
Waumini wakihitaji maombezi kutoka kwa mtume |
![]() |
Mtume David Chuma |
Mamia ya wakazi wa Iringawalihudhulia katika semina wakisubiri maombezi |
Waumini wakiwa wanasubiri kutoa sadaka katika semina |
Mtume David Chuma kutoka Zambia akiitwanga injili mkoani Iringa |
Mamia ya wakazi wa mkoa wa Iringa na Dodoma walio hudhulia kwenye semina ya Mambezi IDYDC Iringa |
watu wafulika katika ibada ya kwanza na yapili kwaajili ya semina ya Overcomers Power Centre Iringa iliyoandaliwa Askofu Boaz Sollo ikihutubiwa na Mtume David Chuma kutoka Zambia |
No comments:
Post a Comment