INJIRI YA MOTO IMEENDELEA KULINDIMA IRINGA KATIKA UKUMBI WA IDYDC CHINI YA ASKOFU DR.BOAZ SOLLO MIUJIZA NA UPONYAJI INATIMIA FIKA UJIONEE WIKI HII
| Askofu Boaz Sollo akiomba katika ibada ya neno la mungu |
| Askofu Boaz Sollo akifafanua mafundisho ukumbini Alhamisi hii |
| Waumini wakiomba katika ukumbi wa IDYDC |
| Wahudumu Overcomers Power Centre wakiwasaidia wenye shida |
| Askofu Boaz Sollo akipokea Ushuhuda wa matendo makuu aliyotenda kattika huduma ya Overcomers Power Centre |
| Mch.Seleman sollo katika ukumbi wa IDYDC Iringa |
| Mch.Seleman Sollo akiomba katika ibada IDYDC |
| Mch.Seleman Sollo akifundisha Overcomers Power Centre Alhamisi hii |
| Waumini wakiomba IDYDC wakati wa maombezi ya Dr.Boaz Sollo |
| Wauminini waliohudhulia IDYDC Overcomers Power Centre Alhamis wiki hii |
No comments:
Post a Comment