KONGAMANO LA AKINA MAMA WA KANISA LA PENTECOSTE HOLLYNESS MISSION TANZANIA
WAAFANYA MAKUMMBWA KATIKA MKOA WA IRINGA
WAAFANYA MAKUMMBWA KATIKA MKOA WA IRINGA
WAKATI WA KONGAMMANO LA KITAIFA LILOFANYIKA KATIKA UKUMMBI WA KRELUU MJINI IRINGA
Kushoto mama Mchungaji Peter Msigwa na Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini akiwa na Mgeni rasmi katika kongamano hilo Bi Lucy ambaye pia ni Afisa mipanga miji Manispaa ya Iringa mjini. |
Askofu mkuu wa kanisa la Pentecoste Hollyness Mission Tanzania Mch.Festo akiwa ni miongoni mwa viongozi waliohudhulia katika kongamano hilo. |
Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la PentecosteHollyness Tanzania akisikiliza kwa makini katika Komngamano hilo |
Katibu mkuu wa Kanisa la Pentecoste Tanzania Mch.Andrew |
Add caption |
Mwalimu wa shule ya msingi ya viziwi anbao pia walikabidhiwa misaada kutoka kwa wakina mama wa kanisa la Pentecoste Iringa |
Walimu na wanafunzi wa shule ya viziwi Mtwivira wakizungumza na Mgeni rasmi katika kongamano la wanawake pamoja na kukabidhiwa misaada |
Walimu wa shule ya Viziwi wakipokea misaada kutoka kwa mgeni rasmi |
Misaada ya nguo pamoja na mahindi yaliyo tolewa katika kongamano hilo |
Sabuni mahindi pamoja na sukari |
Watoto wa Shule ya msingi viziwi Mtwivila Manispaa ya Iringa |
Afisa mipango miji manispaa ya Iringa bi Lucy. |
msoma risala mbele ya mgeni rasmi |
Msomaji risala |
No comments:
Post a Comment