 |
- Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akimpongeza Bw. Deo Mwanyika, Makamu wa Rais wa Kampuni ya Barrick Tanzania
baada ya kuibuka mchangiaji mkubwa kwa kutoa dola za Kimarekani laki 5 kwa
ajili ya kuchangia taasisi ya Mkapa Hiv/Aids Foundation Jumanne Juni 5,
2012 usiku katika hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es salaam. Kushoto ni
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kulia ni
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa aliyeandaa hafla
hiyo iliyoweza kukusanya shilingi bilioni 3.2 na kuvuka malengo ya
harambee hiyo kwa asilimia sita
|
 |
- Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akisindikizwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali
Hassan Mwinyi (kushoto) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee
Benjamin William Mkapa baada ya kuwa mgeni rasmi katika harambee ya
kuchangia Taasisi ya Mkapa HIV/AIDS foundation na kusaidia kukusanya
shilingi bilioni 3.2 nauvuka malengo ya harambee hiyo kwa asilimia sita
|
Rais Jakaya
Kikwete, akimkabidhi picha ya kuchora Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya UNDI
Consulting Group Limited, Bw Philip Makoka aliyoinunua kwa shilingi milioni 20
wakati wa Harambee ya kuchangia fedha programu ya Mkapa Fellows inayoendeshwa
naTaasisi ya Mkapa HIV/AIDS iliyofanyika Dar es Salaam kwenye hoteli ya
Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kulia ni mchoraji wa
picha hiyo, Bwana Muzu
No comments:
Post a Comment