Thursday, February 16, 2012

MBUNGE MSIGWA ATOA MSAADA WA VIFAA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA
 Vifaa vikishushwa toka katika Gari
MBUNGE WA IRINGA MJINI PETER MSIGWA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA KUKABIDHI VIFAA HIVYO. vifaa hivyo ni vitanda vya umeme,wheel chair,kabati na magodoro.
Mwakilishi wa Meya wa manispaa ya Iringa akitoa neno la shukrani baada ya kupokea vifaa toka kwa Mbunge wa Iringa mjini Mh Peter Msigwa.

No comments:

Post a Comment