Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya (wa tatu kulia)
akipokea maua kutoka kwa Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya huduma
za ndege za Auric Air, Deepesh Gupta baada ya kuzindua safari za kwenda Mkoani
Rukwa kwa ndege katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es
Salaam jana. Kulia kwa Manyanya ni Katibu Mkuu Menejiment ya Utumishi wa Umma,
George Yambesi, Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aishi Hilal (wa pili kulia) na
Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Salim Chima Mohamedi. (Picha na Robert Okanda).
No comments:
Post a Comment