INJIRI YA MOTO IMEENDELEA KULINDIMA IRINGA KATIKA UKUMBI WA IDYDC CHINI YA ASKOFU DR.BOAZ SOLLO MIUJIZA NA UPONYAJI INATIMIA FIKA UJIONEE WIKI HII
Askofu Boaz Sollo akiomba katika ibada ya neno la mungu |
Askofu Boaz Sollo akifafanua mafundisho ukumbini Alhamisi hii |
Waumini wakiomba katika ukumbi wa IDYDC |
Wahudumu Overcomers Power Centre wakiwasaidia wenye shida |
Askofu Boaz Sollo akipokea Ushuhuda wa matendo makuu aliyotenda kattika huduma ya Overcomers Power Centre |
Mch.Seleman sollo katika ukumbi wa IDYDC Iringa |
Mch.Seleman Sollo akiomba katika ibada IDYDC |
Mch.Seleman Sollo akifundisha Overcomers Power Centre Alhamisi hii |
Waumini wakiomba IDYDC wakati wa maombezi ya Dr.Boaz Sollo |
Wauminini waliohudhulia IDYDC Overcomers Power Centre Alhamis wiki hii |
No comments:
Post a Comment