Sunday, June 24, 2012


UBATIZO OVERCOMERS POWER CENTRE KATIKA MTO RUAHA SIKU YA JUMAMOSI

Mmoja kati ya waliobatizwa siku ya jana na Askofu Boaz Sollo


Askofu Boaz Sollo akimbariki baada ya kubatizwa


Binti akijiandaa na kubatizwa siku ya jana


Bibi akisubiri kubatizwa na Askofu Boaz Solo jana


Mmoja akiwa amezamishwa kwa Ubatizo


Askofu Boaz Solo akimzamisha mmoja kati ya waliokuja kwaajili ya ubatizo


Baada ya ubatizo hali ilikuwa hivi



Baada ya ubatizo


Dada akitoka baada ya kubatizwa



Askofu Boaz Slo akimpa Baraka 



baada ya ubatizo


Askofu Boaz Solo akiwa na baadhi ya waliofika katika ubatizo jana
Add caption













Askofu Boaz Solo akifundisha kabla ya Ubatizo


Umati wa watu waliohudhuria katika ubatizo


Umati wa watu waliohudhuria katika ubatizo


Umati wa watu waliohudhuria katika ubatizo


Umati wa watu waliohudhuria katika ubatizo

No comments:

Post a Comment