MWANDRI ATILIA SHAKA TAALUMA YA MHANDISI WILAYA YA KILOLO
Siku chache Baada ya Naibu Waziri TAMISEMI Agrey
Mwanri Kumaliza Ziara Yake ya Kiserikali Mkoani Iringa na Kutoa Agizo Kwa
Serikali ya Mkoa wa Iringa Kuchunguza Uhalali wa Taaluma ya Mhandisi wa Wilaya
ya Kilolo,Wananchi Wilayani NjombeWamekuwa na Maoni Tofauti Kuhusu Agizo Hilo naNaibuWaziri
Wakizungumza na mtandao huu Baadhi ya Wananchi
Wamesema Hali Hiyo Huenda Inatokana na Kitendo cha Serikali Kupanga
Watumishi Wanaoajiriwa na Wizara Moja Kwa Moja Huku Wengine Wakisema Kuwa
Hali Hiyo Inatokana na Utendaji Mbovu wa Madiwani Kwa Kushindwa Kufuatilia VizuriUtendaji Kazi wa Watumishi wa Serikali Wanaosimamia Miradi Hiyo.
Jabir Makombe ni Afisa Utumishi Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Amesema Kimsingi Ajira Zote za Serikali Hufuata Utaratibu Uliowekwa Ikiwemo Mwajiriwa Kufanyiwa Usahili Kabla ya Kuajiriwa
Hivyo Hatua ya Naibu Waziri Kutilia Shaka Taaluma ya Mhandisi wa Wilaya ya Kilolo Huenda ni Kukosa Imani na Mhandisi Huyo
Kwa upande wao wadau wa maendeleo wilayani hapo wamesema kuwa kitendo cha kusubiri kuja kukaguliwa na viongozi wa juu na kuyabaini mapungufu mbalimbali kwa wataalamu ni dhahiri kuwa hata madiwani wanashindwa kusimamia utekelezaji wa maendeleo ndani ya kata zao.
Kitendo cha baadhi ya madiwani kushindwa kutambua na kusimamia miradi iliyopo ndani ya kata zao mpaka kushikwa na viongozi wakubwa wa serikali ni wazi kuwa madiwani hao hawapo makini na kazi kama wasimamizi wakuu wa maendeleo katika kata.

No comments:
Post a Comment