Mtume David Chuma kutoka Zambia aachia Upako Iringa katika semina kubwa ya Neno la Mungu iliyo andaliwa na Askofu Boaz Sollo wa huduma ya Overcomers Power Centre Iringa Tanzania
| Mtume David Chuma kutoka Zambia akihubiri katika ukumbi wa IDYDC |
| Mtume David Chuma akifanya maombezi |
| Mmoja kati ya waliofika katika ukumbi wa IDYDC akifanyiwa maombezi na mtume David Chuma |
| Waumini wakifanyiwa maombezi na Mtume David Chuma Iringa |
| Mtume David Chuma akihubir katika ukumbi wa IDYDC Iringa |
| Mtume David Chuma akiwasha moto wa injili katika ukumbi wa IDYDC Mkoani Iringa |
No comments:
Post a Comment