Mwimbaji anayetamba na kibao cha "KUTANA NA HAJA ZA MOYO" aitikisa Iringa Katika Semina kukbwa ya neno la Mungu iliyofanyika katika ukumbi wa IDYDC iliyoandaliwa na Akofu Boaz Sollo ambaye ndiye kiongozi wa huduma hiyo ya Overcomers Power Centre Iringa.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Mbeya Tumaini Mbembela akiimba katika semina ya Neno la Mungu Moani Iringa |
Mwimbaji Tumaini Mbembela akiimba mkoani Iringa |
Mwimbaji kutoka Mbeya Tumaini Mbembela |
No comments:
Post a Comment