Sunday, October 14, 2012

NEW BOYS SPORT ACADEMY YA IPOGOLO YAZINDUA NEMBO YAO MPYA

 MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA IRINGA AZINDUA NEMBO MPYA ITAKAYOTUMIWA NA TIMU  YA NEW BOYS SPORT ACADEMY YA IPOGOLO
  • Aahidi kuiendeleza timu hiyo kwa hali na mali  
  • Ahimiza vijana kujitambua katika michezo kwani michezo ni ajira na afya                                       .
Mh.LITHA KABATI akizindua Nembo ya Timu

Mh.KABATI akielekea jukwaani
Mh.Mbunge akiwa jukwaani

Mh.Mbunge akiwavalisha moja ya tuzo wachezaji wa Timu hiyo





Watu walihudhulia uzinduzi wa Nembo ya New Boys Sport Ipogolo mkoani Iringa

No comments:

Post a Comment