ZAIDI YA MILION 5 ZA MBUNGE WA VITIMAALUM MKOA WA IRINGA MH.LITHA KABATI ZATUMIKA KUTEKELEZA AHADI ZAKE KWA WANANCHI KATIKA VIKUNDI MBALIMBALI NA TAASISI MBALIMBALI MKOANI HAPA.
MH.MB LITHA KABATI akizungumza na wanavikundi mbalimbali |
MH.MB LITHA KABATI akifurahia zawadi kutoka kwa wanavikundi |
MH.MB LITHA KABATI akipokea zawadi kutoka kwa wanavikundi |
zawadi kutoka kwa wanavikundi |
Vijana wa Miomboni wakabidhiwa vifaa vya michezo kutoka kwa Mbunge wa viti maalumu Litha Kabati |
Shule ya Sekondari Image Vosa yakabidhiwa vifaa vya michezo kutoka kwa mbunge |
Mwakilishi wa Redio Furaha akipokea fedha kutoka kwa Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Iringa Litha Kabati |
Viongozi wa Mchezo wa Basketball Iringa wakipokea msaada wa fedha kutoka kwa Mheshimiwa Mbunge wa vitimaalum Mkoa wa Iringa Litha Kabati |
Mbunge Litha Kabati akimkaribisha Mh.January Makamba Mbunge wa Bumbuli Tanga |
Mh.January Makamba akizungumzawa wanavikundi Manispaa ya Iringa |
Kulia ni Mbunge wa vitimaalu Iringa,Katikati ni Mh.January Makamba na kushoto ni Mwenyekiti wa Akina mama mkoa wa Iringa Bi.Mwamwindi |
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa akimuanga Mbunge Makamba |
Mwenyekiti wa akina mama Bi.Mwamwindi akishukuru kwa ushindi |
Wanavikundi |
No comments:
Post a Comment