ZAIDI YA VIKUNDI 8 VYA WAJASILIAMALI
VYATEKELEZEWA AHADI ZAKE KUTOKA KWA MH.MBUNGE WA VITIMAALUMU MKOANI
IRINGA RITTA KABATI AMBAPO ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 5 ZATUMIKA.
 |
Mh.mbunge
Ritta Kabati akikabidhi fedha tasilimu kwa wanavikundi ikiwa ni sehemu
ya utekeklezaji wa ahadi zake kwa vikundi vya wajasiliamali
|
 |
Wanavikundi |
MH.RITTA KABATI MBUNGE WA VITI MAALUM MKOANI IRINGA AAHIDI KUENDELEZA MICHEZO MBALIMBALI KATIKA MKOA WA IRINGA.
 |
Mh.Mbunge Ritta Kabati akiwa na baadhi ya viongozi wa michezo kata ya Ruaha Iringa
|
 |
Mh.Mbunge akiwa na Timu shiriki
|
 |
Mh.Mbunge akiwa na kijana aliyefanikiwa kuwa mchezaji bora katika mashindano
|
 |
Mh.Mbunge akikabidhi zawadi kwa washindi
|
Mbunge kabati alitoa rai hiyo wakati wa fainali za michezo ya kwa
vijana waliochini ya umri wa miaka 17 mchezo uliochezwa katika viwanja
vya kanisa katoriki Ipogolo manispaa ya Iringa ambapo alisema yeye
kwakuwa anawiwa kuwasaidia vijana wa mkoa wa Iringa kimichezo ataendelea
kuwasaidia vijana hao kwa kadili ya uwezo wake hata pasipo kukumbushwa
na mtu kwani yeye mwenyeweni mdau wa michezo.
Aidha alitoa wito kwa wadau wengine wa michezo kujitokeza
kusaidia ukuzaji wa michezo ili kuufanya mkoa wa Iringa ufahamike kisoka
sambamba na hilo amepongeza juhudi za uongozi wa wa klabu ya Lipuli
Iringa kwa jitihada zao za makusudi wanazozifanya ili kuhakikisha timu
hiyo inafanya vizuri kisoka.
No comments:
Post a Comment