SEMINA SEMINA
SEMINA
NI SEMINA KUBWA YA NENO LA MUNGU KAKWA
SIKU NNE MFULULIZO
KATIKA UKUMBI WA IDYDC IRINGA MJINI
KATIKA UKUMBI WA IDYDC
Yule Muhubiri wa kimataifa kutoka Washington DC Marekani Dr.J.J. William Sasa
kwa mara nyingine tena anakuja Mkoani
Iringa katika semina ya neno la Mungu kwa Mwaliko wa Askofu Boaz Sollo
Wawili hao watashirikiana
kutokomeza Nguvu za Giza,Wataombea wagonjwa na wenye shida mbalimbali ,Ikiwa
umesumbuliwa na shida za muda mrefu sasa zinakwenda kukoma ,mahaba,Yatakoma.
|
SEMINA HIYO ITAANZA SIKU YA ALHAMISI TAR 19 HADI JUMAPILI TAR
22/12/2013
NI KATIKA UKUMBI WA IDYDC
KUANZIA SAA NANE KAMILI
MCHANA HADI SAA 12:00 JIONI
HII SIYO SEMINA YA KUKOSA
ILI KUMALIZA MWAKA 2013 NA
KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2014
SEMA SASA YATOSHA KUTESEKA NA SHIDA ZA DUNIA
WAKATI YESU YUPO NA
OVERCOMERS POWER CENTRE
IPO HAPA MKOANI IRINGA
|
No comments:
Post a Comment