Thursday, July 19, 2012

OVERCOMERS POWER CENTRE IDYDC IRINGA YAENDELEA KUWASHA MOTO MKOANI IRINGA,UPAKO NA UPONYAJI WATENDEKA ASKOFU DR.BOAZ SOLLO ANAKUTANGAZIA MWEZI WA SABA WA MIUJIZA KATIKA MAISHA YAKO
 
 
Askofu Dk.Boaz Sollo akisoma neno katika ibada
Askofu Dk.Boaz Sollo alitoa baraka
 
Mmoja kati ya waliotendewa miujiza katika huduma ya Overcomers Power Centre akishudia baada ya kupata mtoto
 
 
Askofu Dk.Boaz Sollo akimuombea mtoto
 
Mama huyu akishudia miujiza ya Mungu aliyomtendea akiwa katika huduma hii ya Overcomers Power Centre
Askofu Dk. Boaz Sollo akimuelezea mzee huyu huduma anayoifanya baada ya kufunguliwa na huduma ya Overcomers Power Centre
 
Akishudia mwenyewe juu ya huduma yake
 
Waumini wakishuka maombi baada ya Neno
 
 
 
Upako umeshuka kwa hawa na watoto nao wamo
 
 
 
 



No comments:

Post a Comment