UMOJA WA VIJANA CCM (UVCCM)MKOA WA IRINGA WAPATA UONGOZI
MPYA LEO
Mb.wa Jimbo la Mufindi Mh.William Mgimwa |
Wajumbe wa uchaguzi wa viongozi wa vijana mmkoa wa Iringa |
Mwenyekiti mstaafu wa vijana mkoa wa Iringa Bwana Fadhiri Ngajiro |
Mh,Gerad Guninitha Mkuu wa Wilaya ya kilolo akiwa pamoja na Afande wa vijana mkoa |
Mb.wa Vitimaalum mkoa wa Iringa Mh.Litha Kabati Semotto akiwa na viongozi wa wa vijana katika uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya Vijana Mkoa wa Iringa |
Wa Kwanza kushoto Mb.Mufindi Kaskazi Mh.William Mgimwa,watatu mwenyekiti CCM Iringa mjini,wanne kulia kamanda wa vijana mkoa wa Iringa |
Mwenyekiti wa Chamma Cha Mapinduzi wilaya ya Iringa Mjini Bwana Kiponza |
Wajummbe wa kikao cha uchaguzi wa vingozim wa vijana mkoa wa Iringa |
No comments:
Post a Comment