Pamoja na kuzungumza na viongozi hao pia mheshimiwa Litha amewaahidi viongozi hao wa mitaa kwa kushirikiana na vingozi wa manispaa ya Iringa mjini kutatua kero zote zinazo wakabili viongozi hao ikiwa ni pamoja na kukosa Posho wanazo stahili viongozi hao kwa wakati kwa kutambua umuhimu walionao katika kuhamasisha maendeleo kaika mtaa yao.
Kauli hiyo ilitolewa na mbunge huyo kutikana na maombi pamoja na malalammiko ya viongozi hao kwa kile walicho kidai kuwa wamesahauliwa na serikali katika vikao mbalimbali kwa maana hakuna mahali wanapo zungumziwa wala kujadiliwa ikiwa wao ni sehemu ya kiungo katika maendeleo ya manispaa hiyo.
Aidha Mbunge Litha amewaomba viongozi hao kuwa wavumilivu kwa zile changamoto wanazo kabiliana nazo katika utendaji wao wa kazi za serikali na kuwataka waitumie ofisi yake iliyopo katika jengo la Mkuu wa mkoa katika kupeleka keri zao pale inapobidi.
MH.Mbunge Litha Kabati akizungumza na wenyeviti wa mitaa mbalimbali Iringa mjini |
Meya wa Manispaa ya Iringa Mjini Bw.Amani Mwamwindi |
Mh.Meya akiwa na katibu wa CCM wilaya ya Iringa Mjini |
Mh.Mbunge vitimaalum Iringa akiwasikiliza viongozi wa serikali za mitaa |
Mwenyekiti wa CCM Wilaya Iringa Mjini Bw.Kiponza |
Mkurugenzi wa Manispaa Iringa Mjini Bi.Thelesia Mahongo akijibu baadhi ya maswali ya wenyeviti wa mitaa |
Afisa Ardhi Manispaa ya Iringa mjini Bw.Mwaipopo akifafanua juu ya ugawaji wa viwanja Manispaa |
M/Kiti wa mtaa wa Kihesa Ngome Bi. Elizabeth Mkayula |
Bi.Maimmuna Kindole M/Kiti wa mtaa wa Ilala |
Bw.David Luhango M/kiti mtaa wa Idunda |
Bw. Crescent Ndunguru M/kiti mtaa wa Gangilonga |
Bw.Yakubu Chang'a M/kiti mtaa wa DDC Road C Mtwivira |
Wenyeviti wa mitaa waliohudhulia kikao cha Mbunge wa Viti maalu wa mkoa wa Iringa Mh. Litha Kabati |
No comments:
Post a Comment