KUMBUKUMBU YA MADHIMISHO YA SIKU WALEMAVU DUNIANI KATIKATI YA MAADHIMISHO YA KUPINGA UKATILI KWA WANAWAKE YANAYOHITIMISHWA NA TAREHE 11/12/2012
Msafara wa watu kuelekea viwanja vya mwembetogwa kuadhimisha siku ya walemavu Duniani |
Mmoja kati ya walemavu akiwa katika shindano la kunywa Soda na Biskuti |
Kiongozi wa walemavu |
Afisa maendeleo ya Jamii Bw.Kilipamwambu katikati akiwa na viongozi wa Chama Cha Walemavu Iringa |
Mh.Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Peter Msigwa kulia katika maadhimisho ya siku ya walemavu Duniani |
Afisa Utamaduni Manispaa ya Iringa Mjini akizunguza katika maadhimisho ya walemavu Duniani |
Afisa ustawi wa jamii Iringa Mjini akizungumza |
Watoto walemavu wa kituo cha Nyumba Ally Iringa |
Mtoto mwenye ulemavu wa kutembea (7)akiwatambulisha wenzake |
Mlemavu |
Wacheza Ngoma za asili |
No comments:
Post a Comment